Mambo yanayotuhusu sisi ni mengi lakini Leo nakupa mambo 14 kuhusu Wewe. Huenda unayafahamu yote au machache au hujawahi kabisa kuyafahamu.Mambo hayo ni;-
1.Wimbo ambao unapenda kusikiliza sana ,unausikiliza kwasababu unagusa hisia za tukio fulani maishani kwako.
2.MTU wa mwisho ambaye huwa unamfikiria kabla ya kulala ni aliyekufurahisha au aliyekukasirisha
3.Ukiwa MTU wa kusema mipango yako ya kimaisha kwa watu wengine una huwezekano mkubwa wa kuitofanikisha mipango yako
4.Moyo wako haujawahi kupenda kinachofanya moyo uwe hivyo ni kemikali ambayo huwa inazalishwa ndani ya ubongo.
5.Kuoa au kuolewa na rafiki yako kuna huwezekano wa asilimia 70% ya Kuwa na ndoa isiyo na migogoro hata talaka.
6.Kukaa katika hali ya
upweke kwa muda mrefu ni hatari Kwa afya yako sawa na MTU anaevuta sigara 15 kwa siku
7.Kusikiliza mziki kwa sauti ya juu ni chanzo kizuri kwako kupata furaha na Kuwa shwari Kiakili.
8.Usiku kama unasumbuliwa na mawazo ya hapa na pale,Jitahidi kuamka na kuyaandika kwenye kitabu.Itakusaidia usirudie Kuwa na mawazo hayo na pia utapata usingizi.
9.Meseji unazotuma hasa za salamu iwe asubuhi na usiku ni nzuri kwasababu zinafanya ubongo kuzalisha kemikali fulani zinazosababisha furaha.
10.Mambo ambayo yanakupa furaha sana ni mambo ya kutisha unayoyafanya
11.Kinachokufanya usilale sana kupitiliza ni kwasababu ya furaha ulio nayo moyoni
12.Kushikana mikono na umpendae huwa kunakupa kujiamini na kukupunguzia Maumivu moyoni
13.Nyimbo ambazo huwa unasikiliza kwa siku hasa nyimbo kuanzia 5 mpaka 10,huwa zinafanya uwe na kumbukumbu nzuri pia zinakufanya kinga ya mwili Kuwa imara bila kusahau ni tiba nzuri ya ugonjwa wa sonona kwa asilimia 80
14.Kila unapowaza matatizo yako huwa unazalisha matatizo yako zaidi.
asante Kwa muda wako, usisite kutembelea blog hii kila Mara kwa maarifa kede kede.
#bless

Comments
Post a Comment