Kanisa katoliki lenye waamini waliobatizwa katika kanisa hili zaidi ya bilioni 1.3 .Lina wakati mgumu hasa ikizingatiwa visa vya unyanyasaji wa kingono,alivyoweka wazi Baba Mtakatifu.Kanisa linapitia kipindi kigumu sana. Hivi makasisi wakiruhusiwa kuoa kuna ubaya gani? Tembelea tovuti hapo juu usome kwa kina. #catholi #romanreigns #katoli http://bit.ly/2DVrMZC

via Henry Mujuni http://bit.ly/2RHPMmU
Comments
Post a Comment