Pesa ni kipimo cha mtu mwenye akili, hekima na busara ndio maana wengi hupata za kawaida lakini sio nyingi.
Pesa sio uchawi bali ni uwezo wako kwenye eneo husika Kama biashara, ajira au kipaji.
Pesa huitaji mbinu ya 4p na 3p kwenye biashara. Kwenye ajira huitaji 1p na kwenye kipawa ni 2p.
Comments
Post a Comment